Friday, 27 September 2013

MIFUKO YA PLASTIC NI HATARI

tunayo mazingira mazuri ambyo mwenyezi Mungu katupa bure, mfano mzuri ni maeneo haya ya mlima wa kilimanjaro,  lakini mazingira haya kunauwezekano mkubwa kwamba hayatakuwepo kama mimi na wewe hatutatunza mazingira haya hili yatutuze.



mfuko kama huu ni mmoja lakini hathari zake ni zaidi ya million moja kwanza udongo utakufa kwakuwa mfuko huo hauhozi haraka. lakini pia mnyama kama huyo anyekula chakula chake kwa raha zote atakufa baada ya kumaliza chakula chake.


Eneo kama hilo linafanana kabisa na maeneo mengi hapa Dar es Salaam na hili halitafaa kwa shughuli yoyote kwa miaka hijayo hapo mbeleni lakini pia ni uchafuzi wa eneo husika.